Nahumu 3:14
Teka maji kwa ajili ya kuzingirwa kwako, 2 imarisha ulinzi wako, 1 Ufanyie udongo wa mfinyanzi kazi, 2 yakanyage matope, 2 karabati tanuru la kuchomea matofali! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 32:3akafanya shauri na maafisa wake na mashujaa wake juu ya kuzuia maji kutoka chemchemi zilizo nje ya mji, nao wakamsaidia.
Isaiah 8:9Inueni kilio cha vita, enyi mataifa, 2 na mkavunjwevunjwe! 2 Sikilizeni, enyi nyote nchi za mbali. 1 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 2 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 1
Isaiah 37:25Nimechimba visima katika nchi za kigeni 2 na kunywa maji yake. 1 Kwa nyayo za miguu yangu 2 nimekausha vijito vyote vya Misri.’ 1
Jeremiah 46:9Songeni mbele, enyi farasi! 2 Endesheni kwa ukali, enyi magari ya farasi, 1 Endeleeni mbele, enyi mashujaa: 2 watu wa Kushi + 46:9 Kushi ni Naili ya Juu; sasa ni Sudan. na Putu + 46:9 Putu sasa ni Libya. wachukuao ngao, 2 watu wa Ludi + 46:9 Nchi iliyo Afrika ya Kaskazini, magharibi ya Mto Naili; sasa ni Libya. wavutao upinde. 1
Nahum 2:1Mshambuliaji anasogea dhidi yako, Ninawi. 2 Linda ngome, 2 chunga barabara, 2 jitieni nguvu wenyewe, 2 kusanya nguvu zako zote! 1