The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 46 › Yeremia 46:4

Yeremia 46:4

Fungieni farasi lijamu, 2 pandeni farasi! 1 Shikeni nafasi zenu 2 mkiwa mmevaa chapeo! 1 Isugueni mikuki yenu, 2 vaeni dirii vifuani! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Harness the horses; and get up, ye horsemen, and stand forth with your helmets; furbish the spears, and put on the brigandines.

In Context

3“Wekeni tayari ngao zenu, kubwa na ndogo, 2 mtoke kwa ajili ya vita! 1

5Je, ninaona nini? 2 Wametiwa hofu, 1 wanarudi nyuma, 2 askari wao wameshindwa. 1 Wanakimbia kwa haraka 2 pasipo kutazama nyuma, 2 tena kuna hofu kuu kila upande,” 4 asema Bwana. 1

Read all of Yeremia 46

Cross References

1 Samuel 17:38Ndipo Sauli akamvika Daudi silaha zake mwenyewe za vita. Akamvika dirii na chapeo ya shaba kichwani mwake.

Nehemiah 4:16Kuanzia siku ile na kuendelea, nusu ya watu wangu walifanya kazi ya ujenzi, na nusu nyingine wakashika mikuki, ngao, pinde na dirii. Maafisa walijipanga nyuma ya watu wote wa Yuda

Jeremiah 46:14“Tangaza hili katika Misri, nawe ulihubiri katika Migdoli, 2 hubiri pia katika Memfisi + 46:14 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. na Tahpanhesi: + 46:14 Ni mji katika Misri. 1 ‘Shikeni nafasi zenu na mwe tayari, 2 kwa kuwa upanga unawala wale wanaokuzunguka.’ 1

Ezekiel 21:9“Mwanadamu, tabiri na useme, ‘Hili ndilo Bwana asemalo: 1 “ ‘Upanga, upanga, 2 ulionolewa na kusuguliwa: 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 46:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 46:3Yeremia 46Yeremia 46:5 →