The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 46 › Yeremia 46:5

Yeremia 46:5

Je, ninaona nini? 2 Wametiwa hofu, 1 wanarudi nyuma, 2 askari wao wameshindwa. 1 Wanakimbia kwa haraka 2 pasipo kutazama nyuma, 2 tena kuna hofu kuu kila upande,” 4 asema Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wherefore have I seen them dismayed and turned away back? and their mighty ones are beaten down, and are fled apace, and look not back: for fear was round about, saith the LORD.

In Context

4Fungieni farasi lijamu, 2 pandeni farasi! 1 Shikeni nafasi zenu 2 mkiwa mmevaa chapeo! 1 Isugueni mikuki yenu, 2 vaeni dirii vifuani! 1

6Walio wepesi na wenye mbio hawawezi kukimbia, 2 wala wenye nguvu hawawezi kutoroka. 1 Kaskazini, kando ya Mto Frati, 2 wanajikwaa na kuanguka. 1

Read all of Yeremia 46

Cross References

Genesis 19:17Mara walipokwisha kuwatoa nje, mmoja wao akawaambia, “Mkimbie kwa usalama wenu! Msitazame nyuma, wala msisimame popote katika nchi tambarare! Kimbilieni milimani, ama sivyo mtaangamizwa!”

Isaiah 19:16Katika siku ile Wamisri watakuwa kama wanawake. Watatetemeka kwa hofu mbele ya mkono wa Bwana Mwenye Nguvu Zote anaoinua dhidi yao.

Jeremiah 20:3Siku ya pili Pashuri alipomwachia kutoka kwenye mkatale, Yeremia akamwambia, “ Bwana hakukuita jina lako kuwa Pashuri bali Magor-Misabibu. + 20:3 Magor-Misabibu maana yake hapa ni Vitisho pande zote.

Jeremiah 46:15Kwa nini mashujaa wako wamesombwa 2 na kupelekwa mbali? 1 Hawawezi kusimama, kwa maana Bwana 2 atawasukuma awaangushe chini. 1

Jeremiah 49:29Hema zao na makundi yao ya kondoo yatachukuliwa; 2 vibanda vyao vitatwaliwa 2 pamoja na mali zao zote na ngamia zao. 1 Watu watawapigia kelele, 2 ‘Hofu kuu iko kila upande!’ 1

Nahum 2:8Ninawi ni kama dimbwi, 2 nayo maji yake yanakauka. 1 Wanalia, “Simama! Simama!” 2 Lakini hakuna anayegeuka nyuma. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 46:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 46:4Yeremia 46Yeremia 46:6 →