Yeremia 46:8
Misri hujiinua kama Mto Naili, 2 kama mito yenye maji yanayofanya mawimbi. 1 Husema, ‘Nitainuka na kufunika dunia, 2 nitaiangamiza miji na watu wake.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7“Ni nani huyu ajiinuaye kama Mto Naili, 2 kama mito yenye maji yanayofanya mawimbi? 1
Cross References
Isaiah 10:13Kwa kuwa anasema: 1 “ ‘Kwa nguvu za mkono wangu nimefanya hili, 2 kwa hekima yangu, kwa sababu nina ufahamu. 1 Niliondoa mipaka ya mataifa, 2 niliteka nyara hazina zao, 1 kama yeye aliye shujaa 2 niliwatiisha wafalme wao. 1
Ezekiel 29:3Nena, nawe useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Mimi ni kinyume nawe, Farao, mfalme wa Misri, 2 joka kubwa ulalaye katikati ya vijito vyako. 1 Unasema, “Mto Naili ni wangu mwenyewe; 2 niliufanya kwa ajili yangu mwenyewe.” 1