Yeremia 48:3
Sikiliza kilio kutoka Horonaimu, 2 kilio cha maangamizi makuu na uharibifu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A voice of crying shall be from Horonaim, spoiling and great destruction.
In Context
4Moabu utavunjwa, 2 wadogo wake watapiga kelele. 1
Cross References
Isaiah 15:5Moyo wangu unamlilia Moabu; 2 wakimbizi wake wanakimbilia Soari, 2 hadi Eglath-Shelishiya. 1 Wanapanda njia ya kwenda Luhithi, 2 wanakwenda huku wanalia; 1 barabarani iendayo Horonaimu 2 wanaombolezea maangamizi yao. 1
Isaiah 16:7Kwa hiyo Wamoabu wanaomboleza, 2 wanaiombolezea Moabu kwa pamoja. 1 Wanaomboleza na kuhuzunika 2 kwa ajili ya watu wa Kir-Haresethi. 1
Jeremiah 4:20Maafa baada ya maafa, 2 nchi yote imekuwa magofu. 1 Kwa ghafula mahema yangu yameangamizwa, 2 makazi yangu kwa muda mfupi. 1
Jeremiah 48:5Wanapanda kwenda njia ya kuelekea Luhithi, 2 wakilia kwa uchungu wanapotembea, 1 kwenye njia inayoshuka kwenda Horonaimu, 2 kilio cha uchungu kwa ajili ya uharibifu kinasikika. 1