The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 4 › Yeremia 4:31

Yeremia 4:31

Nasikia kilio kama cha mwanamke 2 katika utungu wa kuzaa, 1 kilio cha uchungu kama cha anayemzaa 2 mtoto wake wa kwanza: 1 kilio cha Binti Sayuni akitweta ili aweze kupumua, 2 akiinua mikono yake, akisema, 1 “Ole wangu! Ninazimia; 2 maisha yangu yamekabidhiwa kwa wauaji.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For I have heard a voice as of a woman in travail, and the anguish as of her that bringeth forth her first child, the voice of the daughter of Zion, that bewaileth herself, that spreadeth her hands, saying, Woe is me now! for my soul is wearied because of murderers.

In Context

30Unafanya nini, ewe uliyeharibiwa? 2 Kwa nini unajivika vazi jekundu 2 na kuvaa vito vya dhahabu? 1 Kwa nini unapaka macho yako rangi? 2 Unajipamba bure. 1 Wapenzi wako wanakudharau, 2 wanautafuta uhai wako. 1

Read all of Yeremia 4

Cross References

Genesis 27:46Kisha Rebeka akamwambia Isaki, “Nimechukia kuishi kwa sababu ya hawa wanawake wa Kihiti. Ikiwa Yakobo ataoa mke miongoni mwa wanawake wa nchi hii, wanawake wa Kihiti kama hawa, sitakuwa na faida kuendelea kuishi.”

Psalms 120:5Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, 2 kwamba naishi katikati ya hema za Kedari! 1

Isaiah 6:5Ndipo nikalia, “Ole wangu! Nimeangamia! Kwa kuwa mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninaishi katikati ya watu wenye midomo michafu, nayo macho yangu yamemwona Mfalme, Bwana Mwenye Nguvu Zote.”

Isaiah 21:3Katika hili mwili wangu umeteswa na maumivu, 2 maumivu makali ya ghafula yamenishika, 2 kama yale ya mwanamke mwenye utungu wa kuzaa. 2 Nimeduwazwa na lile ninalolisikia, 2 nimeshangazwa na lile ninaloliona. 1

Isaiah 42:14“Kwa muda mrefu nimenyamaza kimya, 2 nimekaa kimya na kujizuia. 1 Lakini sasa, kama mwanamke wakati wa kujifungua, 2 ninapiga kelele, ninatweta na kushusha pumzi. 1

Jeremiah 6:23Wamejifunga pinde na mkuki, 2 ni wakatili na hawana huruma. 1 Wanatoa sauti kama bahari inayonguruma 2 wanapoendesha farasi zao. 1 Wanakuja kama watu waliojipanga tayari kwa vita 2 ili kukushambulia, ee Binti Sayuni.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 4:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 4:30Yeremia 4