Yeremia 49:17
“Edomu atakuwa kitu cha kuogofya; 2 wote wapitao karibu 1 watashangaa na kuzomea 2 kwa sababu ya majeraha yake yote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 7:20ndipo nitakapoingʼoa Israeli kutoka nchi yangu niliyowapa, nami nitalikataa Hekalu hili nililolitakasa kwa ajili ya Jina langu. Nitalifanya kitu cha kudharauliwa na kitu cha kudhihakiwa miongoni mwa watu wote.
Jeremiah 18:16Nchi yao itaharibiwa, 2 itakuwa kitu cha kudharauliwa daima; 1 wote wapitao karibu nayo watashangaa 2 na kutikisa vichwa vyao. 1
Jeremiah 50:13Kwa sababu ya hasira ya Bwana hatakaliwa na mtu, 2 lakini ataachwa ukiwa kabisa. 1 Wote watakaopita Babeli watatiwa hofu na kudhihaki 2 kwa sababu ya majeraha yake yote. 1
Lamentations 2:15Wote wapitiao njia yako 2 wanakupigia makofi, 1 wanakudhihaki na kutikisa vichwa vyao 2 kwa Binti Yerusalemu: 1 “Huu ndio ule mji ulioitwa 2 mkamilifu wa uzuri, 2 furaha ya dunia yote?” 1
Ezekiel 35:7Nitaufanya Mlima Seiri ukiwa na usiokaliwa na watu wala kulimika na kuukatilia mbali na wote wanaokuja na wanaokwenda.
Micah 6:16Mmezishika sheria za Omri 2 na matendo yote ya nyumba ya Ahabu, 2 tena umefuata desturi zao. 1 Kwa hiyo nitakutoa kwa maangamizi 2 na watu wako kuwa dhihaka; 2 mtachukua dharau za mataifa.”