The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 2 › Maombolezo 2:15

Maombolezo 2:15

Wote wapitiao njia yako 2 wanakupigia makofi, 1 wanakudhihaki na kutikisa vichwa vyao 2 kwa Binti Yerusalemu: 1 “Huu ndio ule mji ulioitwa 2 mkamilifu wa uzuri, 2 furaha ya dunia yote?” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

All that pass by clap their hands at thee; they hiss and wag their head at the daughter of Jerusalem, saying, Is this the city that men call The perfection of beauty, The joy of the whole earth?

In Context

14Maono ya manabii wako 2 yalikuwa ya uongo na yasiyofaa kitu, 1 hawakuifunua dhambi yako 2 ili kukuzuilia kwenda utumwani. 1 Maneno waliyokupa 2 yalikuwa ya uongo na ya kupotosha. 1

16Adui zako wote wanapanua 2 vinywa vyao dhidi yako, 1 wanadhihaki na kusaga meno yao 2 na kusema, “Tumemmeza. 1 Hii ndiyo siku tuliyoingojea, 2 tumeishi na kuiona.” 1

Read all of Maombolezo 2

Cross References

Deuteronomy 29:22Watoto wako watakaofuata baada yako katika vizazi vya baadaye na wageni ambao watakuja kutoka nchi za mbali, wataona maafa, yaliyoipata nchi na magonjwa ambayo Bwana aliyaleta juu yake.

1 Kings 9:8Ingawa hekalu hili linavutia sasa, wote watakaolipita watashangaa na kudhihaki wakisema, ‘Kwa nini Bwana amefanya kitu kama hiki katika nchi hii na kwa Hekalu hili?’

2 Kings 19:21Hili ndilo neno ambalo Bwana amelisema dhidi yake: 1 “ ‘Bikira Binti Sayuni anakudharau na kukudhihaki. 2 Binti Yerusalemu anatikisa kichwa chake unapokimbia. 1

Job 27:22Humvurumisha bila huruma, 2 huku akikimbia kasi kukwepa nguvu zake. 1

Psalms 44:14Umetufanya kuwa mithali miongoni mwa mataifa, 2 mataifa hutikisa vichwa vyao. 1

Psalms 48:2Ni mzuri katika kuinuka kwake juu sana, 2 furaha ya dunia yote. 1 Kama vilele vya juu sana vya Safoni + 48:2 Safoni inaweza ikawa na maana ya mlima mtakatifu au upande wa kaskazini. ni Mlima Sayuni, 2 mji wa Mfalme Mkuu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 2:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 2:14Maombolezo 2Maombolezo 2:16 →