The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 49 › Jeremiah 49:3

Jeremiah 49:3

“Lia kwa huzuni, ee Heshboni, kwa kuwa Ai umeangamizwa! 2 Pigeni kelele, enyi wakazi wa Raba! 1 Vaeni nguo za gunia na kuomboleza, 2 kimbieni hapa na pale ndani ya kuta, 1 kwa kuwa Moleki atakwenda uhamishoni, 2 yeye pamoja na makuhani na maafisa wake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Howl, O Heshbon, for Ai is spoiled: cry, ye daughters of Rabbah, gird you with sackcloth; lament, and run to and fro by the hedges; for their king shall go into captivity, and his priests and his princes together.

In Context

2Lakini siku zinakuja,” 2 asema Bwana, 1 “nitakapopiga kelele ya vita 2 dhidi ya Raba mji wa Waamoni; 1 utakuwa kilima cha magofu, 2 navyo vijiji vinavyouzunguka 2 vitateketezwa kwa moto. 1 Kisha Israeli atawafukuza 2 wale waliomfukuza,” 4 asema Bwana. 1

4Kwa nini unajivunia mabonde yako, 2 kujivunia mabonde yako yaliyozaa sana? 1 Ee binti usiye mwaminifu, unayeutumainia utajiri wako na kusema, 2 ‘Ni nani atakayenishambulia?’ 1

Read all of Jeremiah 49

Cross References

1 Kings 11:5Solomoni akafuata Ashtorethi mungu mke wa Wasidoni, na Moleki + 11:5 Moleki au Milkomu ni mungu aliyekuwa akiabudiwa na Waamoni; alikuwa chukizo kwa sababu watoto walitolewa kafara kwake. mungu aliyekuwa chukizo la Waamoni.

2 Kings 23:13Mfalme pia akanajisi mahali pa juu pa kuabudia miungu, palipokuwa mashariki ya Yerusalemu upande wa kusini wa Kilima cha Uharibifu, pale ambapo Solomoni mfalme wa Israeli alikuwa amejenga kwa ajili ya Ashtorethi mungu mke chukizo la Wasidoni, kwa ajili ya Kemoshi mungu chukizo la Wamoabu, na kwa ajili ya Moleki mungu chukizo la watu wa Amoni.

Isaiah 13:6Ombolezeni, kwa maana siku ya Bwana i karibu, 2 itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi. + 13:6 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1

Isaiah 15:2Diboni anakwea hadi kwenye hekalu lake, 2 mpaka mahali pake pa juu ili walie, 2 Moabu anaombolezea Nebo na Medeba. 1 Kila kichwa kimenyolewa 2 na kila ndevu limeondolewa. 1

Isaiah 23:1Neno kuhusu Tiro: 1 Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! 2 Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, 2 imeachwa bila nyumba wala bandari. 1 Kuanzia nchi ya Kitimu + 23:1 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. 2 neno limewajia. 1

Isaiah 32:11Tetemekeni, enyi wanawake wenye kuridhika, 2 tetemekeni kwa hofu, enyi binti mnaojisikia salama! 1 Vueni nguo zenu, 2 vaeni nguo ya gunia viunoni mwenu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 49:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 49:2Jeremiah 49Jeremiah 49:4 →