The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 49 › Jeremiah 49:21

Jeremiah 49:21

Kwa sauti ya anguko lao, dunia itatetemeka. 2 Kilio chao kitasikika hadi Bahari ya Shamu. + 49:21 Kwa Kiebrania ni Bahari ya Mafunjo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The earth is moved at the noise of their fall, at the cry the noise thereof was heard in the Red sea.

In Context

20Kwa hiyo, sikia kile Bwana alichokipanga dhidi ya Edomu, 2 kile alichokusudia dhidi ya wale waishio Temani: 1 Aliye mchanga katika kundi ataburutwa mbali; 2 yeye ataharibu kabisa malisho yao kwa sababu yao. 1

22Tazama! Tai atapaa juu angani na kuruka chini kwa ghafula, 2 akitandaza mabawa yake juu ya Bosra. 1 Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Edomu 2 itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1 Ujumbe Kuhusu Dameski

Read all of Jeremiah 49

Cross References

Isaiah 14:4utaichukua dhihaka hii dhidi ya mfalme wa Babeli: 1 Tazama jinsi mtesi alivyofikia mwisho! 2 Tazama jinsi ghadhabu yake kali ilivyokoma! 1

Ezekiel 21:16Ee upanga, kata upande wa kuume, 2 kisha upande wa kushoto, 1 mahali popote makali yako 2 yatakapoelekezwa. 1

Ezekiel 32:10Nitayafanya mataifa mengi wakustaajabie, 2 wafalme wao watatetemeka 2 kwa hofu kwa ajili yako 2 nitakapotikisa upanga wangu mbele yao. 1 Siku ya anguko lako 2 kila mmoja wao atatetemeka 2 kila dakika kwa ajili ya maisha yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 49:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 49:20Jeremiah 49Jeremiah 49:22 →