Yeremia 49:25
Kwa nini mji ambao unajulikana haujaachwa, 2 mji ambao ninaupenda? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
How is the city of praise not left, the city of my joy!
In Context
Cross References
Psalms 37:35Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi 2 kama mwerezi wa Lebanoni, 1
Isaiah 14:4utaichukua dhihaka hii dhidi ya mfalme wa Babeli: 1 Tazama jinsi mtesi alivyofikia mwisho! 2 Tazama jinsi ghadhabu yake kali ilivyokoma! 1
Jeremiah 48:2Moabu haitasifiwa tena; 2 huko Heshboni watu watafanya shauri baya la anguko lake: 2 ‘Njooni na tuangamize taifa lile.’ 1 Wewe nawe, ee Madmena, utanyamazishwa; 2 upanga utakufuatia. 1
Jeremiah 51:41“Tazama jinsi Sheshaki + 51:41 Sheshaki ni Babeli kwa fumbo. atakamatwa, 2 majivuno ya dunia yote yatakavyonyakuliwa. 1 Babeli atakuwa mwenye hofu kiasi gani 2 kati ya mataifa! 1
Revelation 18:10Kwa hofu kubwa ya mateso yake, watasimama mbali na kulia na wakisema: 1 “ ‘Ole! Ole, ee mji mkubwa, 2 ee Babeli mji wenye nguvu! 1 Hukumu yako imekuja katika saa moja!’