Yeremia 49:26
Hakika, vijana wake wanaume wataanguka barabarani; 2 askari wake wote watanyamazishwa siku hiyo,” 4 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25Kwa nini mji ambao unajulikana haujaachwa, 2 mji ambao ninaupenda? 1
27“Nitatia moto kuta za Dameski; 2 utaangamiza ngome za Ben-Hadadi.” 1 Ujumbe Kuhusu Kedari Na Hazori
Cross References
Jeremiah 9:21Mauti imeingia ndani kupitia madirishani, 2 imeingia kwenye majumba yetu ya fahari; 1 imewakatilia mbali watoto katika barabara 2 na vijana waume kutoka viwanja vya miji.
Jeremiah 50:30Kwa hiyo, vijana wake wanaume wataanguka barabarani; 2 askari wake wote watanyamazishwa siku ile,” 4 asema Bwana. 1
Lamentations 2:21“Vijana na wazee hujilaza pamoja 2 katika mavumbi ya barabarani, 1 wavulana wangu na wasichana 2 wameanguka kwa upanga. 1 Umewaua katika siku ya hasira yako, 2 umewachinja bila huruma. 1
Amos 4:10“Niliwapelekea tauni miongoni mwenu 2 kama nilivyofanya kule Misri. 1 Niliwaua vijana wenu wa kiume kwa upanga, 2 niliwachukua farasi wenu. 1 Nilijaza pua zenu kwa uvundo kutoka kwenye kambi zenu, 2 hata hivyo hamjanirudia mimi,” 4 asema Bwana. 1