Yeremia 49:27
“Nitatia moto kuta za Dameski; 2 utaangamiza ngome za Ben-Hadadi.” 1 Ujumbe Kuhusu Kedari Na Hazori
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I will kindle a fire in the wall of Damascus, and it shall consume the palaces of Ben-hadad.
In Context
Cross References
1 Kings 20:1Wakati huu, Ben-Hadadi mfalme wa Aramu akakusanya jeshi lake lote. Akifuatana na wafalme thelathini na wawili wakiwa na farasi na magari ya vita, akakwea kuuzingira kwa jeshi Samaria na kuishambulia.
2 Kings 13:5Bwana akamtoa mwokozi kwa ajili ya Israeli, nao wakaokoka kutoka kwenye mamlaka ya Aramu. Hivyo Waisraeli wakaishi katika nyumba zao wenyewe kama ilivyokuwa hapo awali.
Amos 1:3Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kwa dhambi tatu za Dameski, 2 hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. 1 Kwa sababu aliipura Gileadi 2 kwa vyombo vya chuma vyenye meno. 1