The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 49 › Yeremia 49:30

Yeremia 49:30

“Kimbieni haraka! 2 Kaeni kwenye mapango marefu sana, ninyi mkaao Hazori,” 4 asema Bwana. 2 “Nebukadneza, mfalme wa Babeli amepanga shauri baya dhidi yenu; 2 amebuni hila dhidi yenu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Flee, get you far off, dwell deep, O ye inhabitants of Hazor, saith the LORD; for Nebuchadrezzar king of Babylon hath taken counsel against you, and hath conceived a purpose against you.

In Context

29Hema zao na makundi yao ya kondoo yatachukuliwa; 2 vibanda vyao vitatwaliwa 2 pamoja na mali zao zote na ngamia zao. 1 Watu watawapigia kelele, 2 ‘Hofu kuu iko kila upande!’ 1

31“Inuka na ulishambulie taifa lililo starehe, 2 linaloishi kwa kujiamini,” 4 asema Bwana, 1 “taifa lisilo na malango wala makomeo; 2 watu wake huishi peke yao. 1

Read all of Yeremia 49

Cross References

Isaiah 10:7Lakini hili silo analokusudia, 2 hili silo alilo nalo akilini; 1 kusudi lake ni kuangamiza, 2 kuyakomesha mataifa mengi. 1

Jeremiah 25:24wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa;

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 49:29Yeremia 49Yeremia 49:31 →