Yeremia 49:29
Hema zao na makundi yao ya kondoo yatachukuliwa; 2 vibanda vyao vitatwaliwa 2 pamoja na mali zao zote na ngamia zao. 1 Watu watawapigia kelele, 2 ‘Hofu kuu iko kila upande!’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 6:5Walipanda na mifugo yao na mahema yao, mfano wa makundi ya nzige. Ilikuwa haiwezekani kuwahesabu watu na ngamia zao; wakavamia nchi ili kuiharibu.
Judges 8:21Zeba na Salmuna wakasema, “Njoo ufanye hivyo wewe mwenyewe. ‘Alivyo mtu, ndivyo zilivyo nguvu zake.’ ” Hivyo Gideoni akatoka mbele na kuwaua, naye akayaondoa mapambo kwenye shingo za ngamia zao. 1 Kisibau Cha Gideoni
1 Chronicles 5:20Walisaidiwa katika kupigana nao, Mungu akawatia Wahagari pamoja na wote walioungana nao mikononi mwao, kwa sababu walimlilia Mungu wakati wa vita. Alijibu maombi yao, kwa sababu walimtegemea.
Psalms 31:13Kwa maana nimesikia maneno niliyosingiziwa na wengi; 2 vitisho viko pande zote; 1 kwa kuwa wamefanya mashauri dhidi yangu, 2 na kula njama kuniua. 1
Isaiah 13:20Hautakaliwa na watu kamwe 2 wala watu hawataishi humo kwa vizazi vyote. 1 Hakuna Mwarabu atakayepiga hema lake huko, 2 hakuna mchungaji atakayepumzisha makundi yake huko. 1
Jeremiah 4:20Maafa baada ya maafa, 2 nchi yote imekuwa magofu. 1 Kwa ghafula mahema yangu yameangamizwa, 2 makazi yangu kwa muda mfupi. 1