The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 49 › Yeremia 49:6

Yeremia 49:6

“Lakini hatimaye, 2 nitarudisha mateka wa Waamoni,” 4 asema Bwana. 1 Ujumbe Kuhusu Edomu

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And afterward I will bring again the captivity of the children of Ammon, saith the LORD.

In Context

5Nitaleta hofu kuu juu yako 2 kutoka kwa wale wote wanaokuzunguka,” 4 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 “Kila mmoja wenu ataondolewa, 2 wala hakuna hata mmoja atakayekusanya wakimbizi. 1

7Kuhusu Edomu: Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Je, hakuna tena hekima katika Temani? 2 Je, shauri limewapotea wenye busara? 2 Je, hekima yao imechakaa? 1

Read all of Yeremia 49

Cross References

Isaiah 19:18Katika siku hiyo miji mitano ya Misri, itazungumza lugha ya Kanaani, na kuapa kumtii Bwana Mwenye Nguvu Zote. Mji mmojawapo utaitwa Mji wa Uharibifu. + 19:18 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua).

Jeremiah 46:26Nitawatia mikononi mwa wale wanaotafuta uhai wao, yaani Nebukadneza mfalme wa Babeli na maafisa wake. Hatimaye, hata hivyo, Misri itakaliwa kama nyakati zilizopita,” asema Bwana. 1

Jeremiah 49:39“Lakini nitarudisha mateka wa Elamu 2 katika siku zijazo,” 4 asema Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 49:5Yeremia 49Yeremia 49:7 →