Yeremia 49:5
Nitaleta hofu kuu juu yako 2 kutoka kwa wale wote wanaokuzunguka,” 4 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 “Kila mmoja wenu ataondolewa, 2 wala hakuna hata mmoja atakayekusanya wakimbizi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6“Lakini hatimaye, 2 nitarudisha mateka wa Waamoni,” 4 asema Bwana. 1 Ujumbe Kuhusu Edomu
Cross References
Joshua 2:9akawaambia, “Ninajua kuwa Bwana amewapa nchi hii na hofu kuu imetuangukia kwa sababu yenu, kiasi kwamba wote waishio katika nchi hii wanayeyuka kwa hofu kwa sababu yenu.
2 Kings 19:7Sikiliza! Nitatia roho fulani ndani yake ili atakaposikia taarifa fulani, atarudi nchi yake mwenyewe, nami huko nitafanya auawe kwa upanga.’ ”
Proverbs 28:1Mtu mwovu hukimbia ingawa hakuna yeyote anayemfukuza, 2 bali wenye haki ni wajasiri kama simba. 1
Jeremiah 6:25Usitoke kwenda mashambani 2 au kutembea barabarani, 1 kwa kuwa adui ana upanga, 2 na kuna vitisho kila upande. 1
Jeremiah 20:4Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: ‘Nitakufanya kuwa hofu kuu kwako wewe mwenyewe na rafiki zako wote, na kwa macho yako mwenyewe utawaona wakianguka kwa upanga wa adui zao. Nitawatia Yuda wote mikononi mwa mfalme wa Babeli, ambaye atawachukua na kuwapeleka Babeli, ama awaue kwa upanga.
Jeremiah 48:41Miji itatekwa na ngome zake 2 zitatwaliwa. 1 Katika siku hiyo, mioyo ya mashujaa wa Moabu 2 itakuwa kama moyo wa mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1