Yeremia 49:8
Geuka na ukimbie, jifiche katika mapango marefu kabisa, 2 wewe uishiye Dedani, 1 kwa kuwa nitaleta maafa juu ya Esau 2 wakati nitakapomwadhibu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 6:2Mkono wa Midiani ukawa na nguvu dhidi ya Israeli na kwa ajili ya Wamidiani, Waisraeli wakajitengenezea mahali pa kujificha milimani, kwenye mapango na ngome.
Isaiah 2:21Watakimbilia kwenye mapango miambani 2 na kwenye nyufa za miamba 1 kutokana na utisho wa Bwana 2 na utukufu wa enzi yake, 2 ainukapo kuitikisa dunia. 1
Jeremiah 6:1“Kimbieni kwa usalama wenu, enyi watu wa Benyamini! 2 Kimbieni kutoka Yerusalemu! 1 Pigeni tarumbeta katika Tekoa! 2 Inueni ishara juu ya Beth-Hakeremu! 1 Kwa kuwa maafa yanaonekana yakitoka kaskazini, 2 na uharibifu wa kutisha. 1
Jeremiah 46:21Askari wake waliokodiwa katika safu zake 2 wako kama ndama walionenepeshwa. 1 Wao pia watageuka na kukimbia pamoja, 2 hawataweza kuhimili vita, 1 kwa maana siku ya msiba inakuja juu yao, 2 wakati wao wa kuadhibiwa. 1
Jeremiah 48:28Ondokeni kwenye miji yenu, mkaishi katikati ya miamba, 2 enyi mnaoishi Moabu. 1 Kuweni kama huwa ambaye hutengeneza kiota chake 2 kwenye mdomo wa pango. 1
Jeremiah 49:30“Kimbieni haraka! 2 Kaeni kwenye mapango marefu sana, ninyi mkaao Hazori,” 4 asema Bwana. 2 “Nebukadneza, mfalme wa Babeli amepanga shauri baya dhidi yenu; 2 amebuni hila dhidi yenu. 1