Yeremia 5:28
wamenenepa na kunawiri. 1 Matendo yao maovu hayana kikomo; 2 hawatetei mashauri ya yatima wapate kushinda, 2 hawatetei haki za maskini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 12:6Hema za wanyangʼanyi hazisumbuliwi, 2 wale wanaomghadhibisha Mungu wako salama: 2 wale wamchukuao mungu wao mikononi mwao. 1
Job 21:23Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili, 2 akiwa salama na mwenye raha kamili, 1
Psalms 72:4Atawatetea walioonewa miongoni mwa watu 2 na atawaokoa watoto wa wahitaji, 2 ataponda mdhalimu. 1
Psalms 73:6Kwa hiyo kiburi ni mkufu wao, 2 wamejivika jeuri. 1
Psalms 82:2“Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki 2 na kuonyesha upendeleo kwa waovu? 1
Proverbs 15:25Bwana hubomoa nyumba ya mtu mwenye kiburi, 2 bali huilinda mipaka ya mjane isiguswe. 1