The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 5 › Yeremia 5:8

Yeremia 5:8

Wamelishwa vizuri, kama farasi waume wenye tamaa nyingi, 2 kila mmoja akimlilia mke wa mwanaume mwingine. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They were as fed horses in the morning: every one neighed after his neighbour’s wife.

In Context

7“Kwa nini niwasamehe? 2 Watoto wenu wameniacha na kuapa kwa miungu ambayo si miungu. 1 Niliwapatia mahitaji yao yote, 2 lakini bado wamefanya uzinzi na kusongana katika nyumba za makahaba. 1

9Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya hili?” 2 asema Bwana. 1 “Je, nisijilipizie kisasi 2 juu ya taifa kama hili? 1

Read all of Yeremia 5

Cross References

Genesis 39:9Hapa nyumbani hakuna aliye mkuu kuliko mimi. Bwana wangu hakunizuilia kitu chochote isipokuwa wewe, kwa kuwa wewe ni mke wake. Nitawezaje basi kufanya uovu huu na kutenda dhambi dhidi ya Mungu?”

Exodus 20:17Usiitamani nyumba ya jirani yako. Usimtamani mke wa jirani yako, wala mtumishi wake wa kiume au wa kike, wala ngʼombe wake au punda wake, wala chochote kile alicho nacho jirani yako.” 1 Watu Wanaogopa (Kumbukumbu 5:22-33)

Deuteronomy 5:21Usitamani mke wa jirani yako. Usitamani nyumba ya jirani yako au shamba lake, mtumishi wake wa kiume au wa kike, ngʼombe au punda wake, wala kitu chochote cha jirani yako.”

Job 31:9“Kama moyo wangu umeshawishiwa na mwanamke, 2 au kama nimevizia mlangoni mwa jirani yangu, 1

Jeremiah 13:27uzinzi wako na kulia kwako kama farasi kulikojaa tamaa, 2 ukahaba wako usio na aibu! 1 Nimeyaona matendo yako ya machukizo 2 juu ya vilima na mashambani. 1 Ole wako, ee Yerusalemu! 2 Utaendelea kuwa najisi mpaka lini?”

Jeremiah 29:23Kwa kuwa wamefanya mambo maovu kabisa katika Israeli, wamezini na wake za majirani zao, tena kwa Jina langu wamesema uongo, mambo ambayo sikuwaambia kuyafanya. Nami nayajua haya, na ni shahidi wa jambo hilo,” asema Bwana. 1 Ujumbe Kwa Shemaya

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 5:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 5:7Yeremia 5Yeremia 5:9 →