The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 50 › Yeremia 50:39

Yeremia 50:39

“Kwa hiyo, viumbe vya jangwani na fisi wataishi humo, 2 nao bundi watakaa humo. 1 Kamwe haitakaliwa tena 2 wala watu hawataishi humo kutoka kizazi hadi kizazi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore the wild beasts of the desert with the wild beasts of the islands shall dwell there, and the owls shall dwell therein: and it shall be no more inhabited for ever; neither shall it be dwelt in from generation to generation.

In Context

38Ukame juu ya maji yake! 2 Nayo yatakauka. 1 Kwa kuwa ni nchi ya sanamu, 2 wao wanaenda wazimu kwa ajili ya sanamu. 1

40Kama vile Mungu alivyoangamiza Sodoma na Gomora 2 pamoja na miji iliyokuwa jirani nayo,” 4 asema Bwana, 1 “vivyo hivyo hakuna mtu yeyote 2 atakayeishi humo. 1 Naam, hakuna mtu yeyote 2 atakayekaa humo. 1

Read all of Yeremia 50

Cross References

Isaiah 13:20Hautakaliwa na watu kamwe 2 wala watu hawataishi humo kwa vizazi vyote. 1 Hakuna Mwarabu atakayepiga hema lake huko, 2 hakuna mchungaji atakayepumzisha makundi yake huko. 1

Isaiah 34:11Bundi wa jangwani na bundi mwenye sauti nyembamba wataimiliki, 2 bundi wakubwa na kunguru wataweka viota humo. 1 Mungu atanyoosha juu ya Edomu 2 kamba ya kupimia ya machafuko matupu, 2 na timazi ya ukiwa. 1

Jeremiah 50:3Taifa kutoka kaskazini litamshambulia, 2 na kuifanya nchi yake ukiwa. 1 Hakuna hata mmoja atakayeishi ndani yake, 2 watu na wanyama wataikimbia. 1

Jeremiah 51:26Hakuna jiwe litakalochukuliwa kutoka kwako 2 kwa ajili ya kufanywa jiwe la pembeni, 1 wala jiwe lolote kwa ajili ya msingi, 2 kwa maana utakuwa ukiwa milele,” 4 asema Bwana. 1

Jeremiah 51:43Miji yake itakuwa ukiwa, 2 kame na jangwa, 1 nchi ambayo hakuna yeyote anayeishi ndani yake, 2 ambayo hakuna mtu anayepita humo. 1

Revelation 18:2Naye akalia kwa nguvu kwa sauti kubwa, akisema: 1 “Umeanguka! Umeanguka Babeli Mkuu! 2 Umekuwa makao ya mashetani 1 na makazi ya kila pepo mchafu, 2 makazi ya kila ndege na kila mnyama achukizaye. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 50:39

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 50:38Yeremia 50Yeremia 50:40 →