Yeremia 6:3
Wachungaji pamoja na makundi yao 2 watakuja dhidi yake; 1 watapiga mahema yao kumzunguka, 2 kila mmoja akichunga kundi lake mwenyewe.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Nitamwangamiza Binti Sayuni, 2 aliye mzuri sana na mwororo. 1
Cross References
2 Kings 24:10Wakati huo, maafisa wa Nebukadneza mfalme wa Babeli walikuja ili kuishambulia Yerusalemu, nao wakaizunguka kwa jeshi.
Jeremiah 4:16“Waambie mataifa jambo hili, 2 piga mbiu hii dhidi ya Yerusalemu: 1 ‘Jeshi la kuzingira linakuja kutoka nchi ya mbali, 2 likipiga kelele ya vita dhidi ya miji ya Yuda. 1
Jeremiah 12:10Wachungaji wengi wataliharibu shamba langu la mizabibu 2 na kulikanyaga shamba langu; 1 watalifanya shamba langu zuri 2 kuwa jangwa la ukiwa. 1
Nahum 3:18Ee mfalme wa Ashuru, wachungaji wako wanasinzia; 2 wakuu wako wanalala chini mavumbini kupumzika. 1 Watu wako wametawanyika juu ya milima 2 bila kuwa na mtu yeyote wa kuwakusanya. 1