Yeremia 6:4
“Jiandaeni kwa vita dhidi yake! 2 Inukeni tumshambulie mchana! 1 Lakini, ole wetu, mchana unaisha, 2 na vivuli vya jioni vinazidi kuwa virefu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Kwa hiyo inukeni, tufanye mashambulizi usiku, 2 na kuharibu ngome zake!”
Cross References
Job 7:2Kama mtumwa anavyovionea shauku vivuli vya jioni, 2 au mtu aliyeajiriwa anavyoungojea mshahara wake, 1
Isaiah 5:26Yeye anainua bendera kwa ajili ya mataifa yaliyo mbali, 2 anapiga filimbi kwa ajili ya wale walio kwenye miisho ya dunia. 1 Tazama wamekuja, 2 kwa kasi na kwa haraka! 1
Jeremiah 5:10“Piteni katika mashamba yake ya mizabibu na kuyaharibu, 2 lakini msiangamize kabisa. 1 Pogoeni matawi yake, 2 kwa kuwa watu hawa sio wa Bwana. 1
Jeremiah 15:8Nitawafanya wajane wao kuwa wengi 2 kuliko mchanga wa bahari. 1 Wakati wa adhuhuri nitamleta mharabu 2 dhidi ya mama wa vijana wao waume; 1 kwa ghafula nitaleta juu yao 2 maumivu makuu na hofu kuu. 1
Joel 3:9Tangazeni hili miongoni mwa mataifa: 2 Jiandaeni kwa vita! 1 Amsha askari! 2 Wanaume wote wapiganaji 2 wasogee karibu na kushambulia. 1
Zephaniah 2:4Gaza utaachwa 2 na Ashkeloni utaachwa magofu. 1 Wakati wa adhuhuri Ashdodi utaachwa mtupu 2 na Ekroni utangʼolewa. 1