Jeremiah 8:21
Kwa kuwa watu wangu wamepondwa, nami nimepondeka pia; 2 ninaomboleza, nayo hofu kuu imenishika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the hurt of the daughter of my people am I hurt; I am black; astonishment hath taken hold on me.
In Context
20“Mavuno yamepita, 2 kiangazi kimekwisha, 2 nasi hatujaokolewa.” 1
Cross References
Nehemiah 2:3lakini nikamwambia mfalme, “Mfalme na aishi milele! Kwa nini uso wangu usiwe na huzuni wakati mji walipozikwa baba zangu umebaki magofu, na malango yake yameteketezwa kwa moto?”
Song of Solomon 1:5Mimi ni mweusi, lakini napendeza, 2 enyi binti za Yerusalemu, 2 mweusi kama mahema ya Kedari, 2 kama mapazia ya hema la Solomoni. 1
Jeremiah 9:1Laiti kichwa changu kingekuwa chemchemi ya maji 2 na macho yangu yangekuwa kisima cha machozi! 1 Ningelia usiku na mchana 2 kwa kuuawa kwa watu wangu. 1
Jeremiah 17:16Sijakukimbia na kuacha kuwa mchungaji wako; 2 unajua sijaitamani siku ya kukata tamaa. 1 Kile kipitacho midomoni mwangu 2 ki wazi mbele yako. 1
Joel 2:6Wanapoonekana, mataifa yanakuwa katika maumivu makuu; 2 kila uso unabadilika rangi. 1
Luke 19:41Alipokaribia Yerusalemu na kuuona mji, aliulilia,