Yeremia 9:4
“Jihadhari na rafiki zako; 2 usiwaamini ndugu zako. 1 Kwa kuwa kila ndugu ni mdanganyifu, 2 na kila rafiki ni msingiziaji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 32:28Ndipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli, + 32:28 Israeli maana yake Yeye ashindanaye na Mungu. kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.”
Psalms 12:2Kila mmoja humwambia jirani yake uongo; 2 midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu. 1
Psalms 55:11Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini, 2 vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake. 1
Proverbs 4:17Wanakula mkate wa uovu, 2 na kunywa mvinyo wa jeuri. 1
Proverbs 6:19shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo, 3 na mtu ambaye huchochea fitina kati ya ndugu. 1 Onyo Dhidi Ya Uasherati 1
Proverbs 25:18Kama vile rungu au upanga au mshale mkali 2 ndivyo alivyo mtu atoaye ushuhuda wa uongo dhidi ya jirani yake. 1