Yeremia 9:5
Rafiki humdanganya rafiki, 2 hakuna yeyote asemaye kweli. 1 Wamefundisha ndimi zao kudanganya, 2 wanajichosha wenyewe katika kutenda dhambi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Unakaa katikati ya udanganyifu; 2 katika udanganyifu wao wanakataa kunitambua mimi,” 4 asema Bwana.
Cross References
Judges 2:10Baada ya kizazi kile chote kukusanywa pamoja na baba zao, kikainuka kizazi kingine baada yao ambacho hakikumjua Bwana, wala matendo yale aliyokuwa ametenda kwa ajili ya Waisraeli.
Job 15:5Dhambi yako inasukuma kinywa chako, 2 nawe umechagua ulimi wa hila. 1
Psalms 50:19Unakitumia kinywa chako kwa mabaya 2 na kuuongoza ulimi wako kwa hila. 1
Psalms 140:3Wao hufanya ndimi zao kali kama za nyoka, 2 sumu ya nyoka iko midomoni mwao. 1
Proverbs 12:5Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki, 2 bali ushauri wa mwovu ni udanganyifu. 1
Isaiah 41:6kila mmoja humsaidia mwingine 2 na kusema kwa ndugu yake, “Uwe hodari!” 1