Proverbs 4:17
Wanakula mkate wa uovu, 2 na kunywa mvinyo wa jeuri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For they eat the bread of wickedness, and drink the wine of violence.
In Context
16Kwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu; 2 wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu. 1
Cross References
Job 24:5Kama punda-mwitu jangwani, 2 maskini huzunguka katika kazi zao za kutafuta chakula; 1 mahali palipo jangwa 2 huwapa chakula cha watoto wao. 1
Proverbs 9:17“Maji yaliyoibiwa ni matamu; 2 chakula kinacholiwa sirini ni kitamu!” 1
Isaiah 5:18Ole wao wanaovuta dhambi kwa kamba za udanganyifu 2 na uovu kama kwa kamba za mkokoteni, 1
Jeremiah 5:26“Miongoni mwa watu wangu wamo walio waovu 2 wanaovizia kama watu wanaotega ndege, 1 na kama wale wanaoweka mitego 2 kuwakamata watu. 1
Ezekiel 22:25Kuna hila mbaya ya wakuu ndani yake kama simba angurumaye akirarua mawindo yake, wanakula watu, wanachukua hazina na vitu vya thamani na kuongeza idadi ya wajane ndani yake.
Micah 3:5Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kuhusu manabii wanaowapotosha watu wangu, 2 mtu akiwalisha, 2 wanatangaza ‘amani’; 1 kama hakufanya hivyo, 2 wanaandaa kupigana vita dhidi yake. 1