Yeremia 9:8
Ndimi zao ni mshale wenye sumu, 2 hunena kwa udanganyifu. 1 Kwa kinywa chake kila mmoja huzungumza maneno mazuri na jirani yake, 2 lakini moyoni mwake humtegea mtego. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 20:9Yoabu akamwambia Amasa, “U hali gani, ndugu yangu?” Kisha Yoabu akamshika Amasa ndevu kwa mkono wake wa kuume ili ambusu.
Psalms 12:3Bwana na akatilie mbali midomo yote ya hila 2 na kila ulimi uliojaa majivuno, 1
Psalms 55:21Mazungumzo yake ni laini kama siagi, 2 hata hivyo vita vimo moyoni mwake. 1 Maneno yake ni mororo kuliko mafuta, 2 hata hivyo ni upanga mkali uliofutwa. 1
Psalms 62:5Ee nafsi yangu, upumzike, kwa Mungu peke yake, 2 tumaini langu latoka kwake. 1
Psalms 64:8Atageuza ndimi zao wenyewe dhidi yao 2 na kuwaleta kwenye maangamizi; 1 wote wawaonao watatikisa vichwa vyao 2 kwa dharau. 1
Proverbs 26:24Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake, 2 lakini moyoni mwake huficha udanganyifu. 1