Ayubu 10:22
nchi ya giza kuu sana, 2 yenye uvuli wa giza na machafuko, 2 mahali ambapo hata nuru ni giza.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21kabla sijaenda mahali ambapo hakuna kurudi tena, 2 katika nchi ya giza na uvuli wa mauti, 1
Cross References
Job 17:13Kama nyumba pekee ninayoitarajia ni kaburi, + 17:13 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 kama nikikitandika kitanda changu gizani, 1
Job 38:17Umewahi kuonyeshwa malango ya mauti? 2 Umewahi kuiona milango ya uvuli wa mauti? 1
Psalms 44:19Lakini ulituponda na kutufanya makao ya mbweha, 2 na ukatufunika kwa giza nene. 1
Psalms 88:13Lakini ninakulilia wewe, Ee Bwana, unisaidie; 2 asubuhi maombi yangu huja mbele zako. 1
Jeremiah 2:6Hawakuuliza, ‘Yuko wapi Bwana, 2 aliyetupandisha kutoka Misri 1 na kutuongoza kupitia nyika kame, 2 kupitia nchi ya majangwa na mabonde, 1 nchi ya ukame na giza, 2 nchi ambayo hakuna mtu asafiriye ndani yake 2 wala hakuna mtu aishiye humo?’ 1
Luke 16:26Zaidi ya hayo, kati yetu na ninyi huko kumewekwa shimo kubwa, ili wale wanaotaka kutoka huku kuja huko wasiweze, wala mtu yeyote asiweze kuvuka kutoka huko kuja kwetu.’