Job 3:13
Kwa maana sasa ningekuwa nimepumzika kwa amani. 2 Ningekuwa nimelala na kupumzika 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For now should I have lain still and been quiet, I should have slept: then had I been at rest,
In Context
12Kwa nini pakawa na magoti ya kunipokea 2 na matiti ili nipate kunyonyeshwa? 1
14pamoja na wafalme na washauri wa dunia, 2 waliojijengea mahali ambapo sasa ni magofu, 1
Cross References
Job 7:8Lile jicho linaloniona sasa halitaniona tena; 2 utanitafuta, wala sitakuwepo. 1
Job 10:22nchi ya giza kuu sana, 2 yenye uvuli wa giza na machafuko, 2 mahali ambapo hata nuru ni giza.”
Job 14:12ndivyo mwanadamu alalavyo chini asiamke; 2 hadi mbingu zitakapokuwa hazipo tena, 1 wanadamu hawataamka au kuamshwa 2 kutoka kwenye usingizi wao. 1
Job 19:27mimi nitamwona kwa macho yangu mwenyewe: 2 mimi, wala si mwingine. 2 Tazama jinsi moyo wangu unavyomtamani sana! 1
Job 21:23Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili, 2 akiwa salama na mwenye raha kamili, 1
Ecclesiastes 9:10Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko kuzimu, unakokwenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima.