Ayubu 10:6
ili kwamba utafute makosa yangu 2 na kuichunguza dhambi yangu; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That thou enquirest after mine iniquity, and searchest after my sin?
In Context
5Je, siku zako ni kama zile za mwanadamu, 2 au miaka yako ni kama ile ya mtu, 1
7ingawa wajua kuwa mimi sina hatia, 2 na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako? 1
Cross References
Job 10:14Kama nilifanya dhambi, ungekuwa umeniona, 2 wala usingeacha kosa langu lipite bila kuadhibiwa. 1
Job 14:16Hakika ndipo utakapozihesabu hatua zangu, 2 lakini hutazifuatia dhambi zangu. 1
Job 33:13Kwa nini unamlalamikia 2 kwamba yeye hamjibu mwanadamu? 1
Psalms 44:21je, Mungu hangaligundua hili, 2 kwa kuwa anazijua siri za moyo? 1
Zephaniah 1:12Wakati huo nitasaka mji wa Yerusalemu kwa taa, 2 na kuwaadhibu wale ambao 2 wanakaa katika hali ya kuridhika, 1 ambao ni kama divai 2 iliyobaki kwenye machicha, 1 ambao hudhani, ‘ Bwana hatafanya lolote, 2 jema au baya.’ 1
1 Corinthians 4:5Kwa hiyo msihukumu jambo lolote kabla ya wakati wake. Ngojeni mpaka Bwana atakapokuja. Yeye atayaleta nuruni mambo yale yaliyofichwa gizani, na kuweka wazi nia za mioyo ya wanadamu. Wakati huo kila mmoja atapokea sifa anayostahili kutoka kwa Mungu.