The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 11 › Ayubu 11:10

Ayubu 11:10

“Kama akija na kukufunga gerezani, 2 na kuitisha mahakama, ni nani awezaye kumpinga? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If he cut off, and shut up, or gather together, then who can hinder him?

In Context

9Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, 2 nacho ni kipana kuliko bahari. 1

11Hakika anawatambua watu wadanganyifu; 2 naye aonapo uovu, je, haangalii? 1

Read all of Ayubu 11

Cross References

Deuteronomy 32:30Mtu mmoja angewezaje kufukuza elfu moja, 2 au wawili kufukuza elfu kumi, 1 kama si kwamba Mwamba wao amewauza, 2 kama si kwamba Bwana amewaacha? 1

Job 9:4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. 2 Ni nani aliyempinga naye akawa salama? 1

Job 12:14Kile anachokibomoa hakiwezi kujengeka tena; 2 mtu aliyefungiwa naye hawezi kufunguliwa. 1

Job 38:8“Ni nani aliyeifungia bahari milango 2 ilipopasuka kutoka tumbo, 1

Isaiah 14:27Kwa kuwa Bwana Mwenye Nguvu Zote amekusudia, 2 ni nani awezaye kumzuia? 1 Mkono wake umenyooshwa, 2 ni nani awezaye kuurudisha? 1 Unabii Dhidi Ya Wafilisti

Daniel 4:35Mataifa yote ya dunia 2 yanahesabiwa kuwa si kitu. 1 Hufanya kama atakavyo 2 kwa majeshi ya mbinguni, 2 na kwa mataifa ya dunia. 1 Hakuna anayeweza kuuzuia mkono wake 2 au kumwambia, “Umefanya nini wewe?”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 11:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 11:9Ayubu 11Ayubu 11:11 →