Ayubu 12:14
Kile anachokibomoa hakiwezi kujengeka tena; 2 mtu aliyefungiwa naye hawezi kufunguliwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13“Hekima na nguvu ni vya Mungu; 2 shauri na ufahamu ni vyake yeye. 1
15Akizuia maji, huwa pana ukame; 2 akiyaachia maji, huharibu nchi. 1
Cross References
1 Samuel 17:46Siku hii leo Bwana atakutia mkononi mwangu, nami nitakupiga na kukukata kichwa chako. Leo nitawapa ndege wa angani na wanyama wa nchi mizoga ya jeshi la Wafilisti, nayo dunia yote itajua kuwa yuko Mungu katika Israeli.
1 Samuel 26:8Abishai akamwambia Daudi, “Leo Mungu amemtia adui yako mikononi mwako. Sasa niruhusu nimchome mpaka ardhini kwa pigo moja la mkuki wangu; sitamchoma mara mbili.”
Job 11:10“Kama akija na kukufunga gerezani, 2 na kuitisha mahakama, ni nani awezaye kumpinga? 1
Job 19:10Amenibomoa kila upande hadi nimeisha; 2 amelingʼoa tegemeo langu kama mti. 1
Ecclesiastes 7:13Tafakari kile Mungu alichokitenda: 1 Nani awezaye kunyoosha 2 kile ambacho yeye amekipinda? 1
Isaiah 22:22Nitaweka mabegani mwake ufunguo wa nyumba ya Daudi. Kile afunguacho hakuna awezaye kufunga, na kile afungacho hakuna awezaye kufungua.