Ayubu 11:9
Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, 2 nacho ni kipana kuliko bahari. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The measure thereof is longer than the earth, and broader than the sea.
In Context
10“Kama akija na kukufunga gerezani, 2 na kuitisha mahakama, ni nani awezaye kumpinga? 1
Cross References
Job 33:12“Lakini mimi ninakuambia, katika jambo hili wewe una makosa, 2 kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mwanadamu. 1
Psalms 65:5Unatujibu kwa matendo ya kushangaza ya haki, 2 Ee Mungu Mwokozi wetu, 1 tumaini la miisho yote ya duniani 2 na la bahari zilizo mbali sana, 1