Ayubu 11:17
Maisha yako yatangʼaa kuliko adhuhuri, 2 nalo giza litakuwa kama alfajiri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Hakika utaisahau taabu yako, 2 utaikumbuka tu kama maji yaliyokwisha kupita. 1
18Utakuwa salama, kwa kuwa lipo tumaini; 2 utatazama pande zote na kupumzika kwa salama. 1
Cross References
Job 42:11Ndipo ndugu zake wote waume kwa wake na kila mtu aliyemfahamu mwanzoni, wakaja wakala pamoja naye katika nyumba yake. Wakamfariji na kumtuliza moyo juu ya taabu yote Bwana aliyoileta juu yake, nao kila mmoja akampa kipande cha fedha na pete ya dhahabu.
Psalms 92:14Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda, 2 watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu, 1
Psalms 112:4Hata gizani nuru humzukia mtu mwadilifu, 2 yule mwenye rehema, huruma na haki. 1
Isaiah 58:8Ndipo nuru yako itajitokeza kama mapambazuko 2 na uponyaji wako utatokea upesi; 1 ndipo haki yako itakapokutangulia mbele yako, 2 na utukufu wa Bwana utakuwa mlinzi nyuma yako. 1
Hosea 6:3Tumkubali Bwana, 2 tukaze kumkubali yeye. 1 Kutokea kwake ni hakika kama vile 2 kuchomoza kwa jua; 1 atatujia kama mvua za masika, 2 kama vile mvua za vuli 2 ziinyweshavyo nchi.” 1
Zechariah 14:6Siku hiyo hakutakuwepo nuru, baridi wala theluji.