Ayubu 11:18
Utakuwa salama, kwa kuwa lipo tumaini; 2 utatazama pande zote na kupumzika kwa salama. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Maisha yako yatangʼaa kuliko adhuhuri, 2 nalo giza litakuwa kama alfajiri. 1
19Utalala, wala hakuna atakayekuogofya, 2 naam, wengi watajipendekeza kwako. 1
Cross References
Job 6:11“Ninazo nguvu gani, hata niendelee kutumaini? 2 Matazamio yangu ya mbele ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu? 1
Job 22:27Utamwomba yeye, naye atakusikia, 2 nawe utazitimiza nadhiri zako. 1
Psalms 4:8Nitajilaza chini na kulala kwa amani, 2 kwa kuwa wewe peke yako, Ee Bwana, 2 waniwezesha kukaa kwa salama.
Proverbs 3:24ulalapo, hautaogopa; 2 ulalapo usingizi wako utakuwa mtamu. 1
Romans 5:3Si hivyo tu, bali twafurahi pia katika mateso, kwa sababu tunajua kuwa mateso huleta saburi,