The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 11 › Ayubu 11:3

Ayubu 11:3

Je, maneno yako ya upuzi yawafanye watu wanyamaze kimya? 2 Je, mtu asikukemee unapofanya dhihaka? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Should thy lies make men hold their peace? and when thou mockest, shall no man make thee ashamed?

In Context

2“Je, maneno haya yote yapite bila kujibiwa? 2 Je, huyu mnenaji athibitishwe kuwa na haki? 1

4Unamwambia Mungu, ‘Imani yangu ni kamili 2 nami ni safi mbele zako.’ 1

Read all of Ayubu 11

Cross References

Job 13:4Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; 2 ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote! 1

Job 15:2“Je, mtu mwenye hekima hujibu kwa mawazo matupu, 2 au kujaza tumbo lake kwa upepo wenye joto wa mashariki? 1

Job 21:3Nivumilieni ninapozungumza, 2 nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki. 1

Job 34:7Ni mtu gani aliye kama Ayubu, 2 anywaye dharau kama maji? 1

Psalms 83:16Funika nyuso zao kwa aibu 2 ili watu walitafute jina lako, Ee Bwana. 1

2 Thessalonians 3:14Ikiwa mtu yeyote hayatii maagizo yetu yaliyoko katika barua hii, mwangalieni sana mtu huyo. Msishirikiane naye, ili apate kuona aibu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 11:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 11:2Ayubu 11Ayubu 11:4 →