Job 13:4
Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; 2 ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But ye are forgers of lies, ye are all physicians of no value.
In Context
3Lakini ninayo shauku ya kuzungumza na Mwenyezi 2 na kuhojiana shauri langu na Mungu. 1
5Laiti wote mngenyamaza kimya! 2 Kwa kuwa kwenu hilo lingekuwa hekima. 1
Cross References
Exodus 20:16Usimshuhudie jirani yako uongo. 1
Job 5:1“Ita kama unataka, lakini ni nani atakayekujibu? 2 Ni yupi kati ya hao watakatifu utakayemgeukia? 1
Job 6:20Wamedhikika, kwa sababu walikuwa na matumaini; 2 wanafika huko, lakini wanahuzunika kwa kukosa walichotarajia. 1
Job 8:3Je, Mungu hupotosha hukumu? 2 Je, Mwenyezi hupotosha kile kilicho haki? 1
Job 18:5“Taa ya mwovu imezimwa, 2 nao mwali wa moto wake umezimika. 1
Job 22:6Umedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu; 2 umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi. 1