The Bible Software
bible.softwareJobJob 21 › Job 21:3

Job 21:3

Nivumilieni ninapozungumza, 2 nami nikishazungumza, endeleeni kunidhihaki. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Suffer me that I may speak; and after that I have spoken, mock on.

In Context

2“Yasikilizeni maneno yangu kwa makini; 2 hii na iwe faraja mnayonipa mimi. 1

4“Je, kwani malalamiko yangu yanaelekezwa kwa mwanadamu? 2 Kwa nini nisikose subira? 1

Read all of Job 21

Cross References

Job 12:4“Nimekuwa mtu wa kuchekwa na rafiki zangu, 2 ingawa nilimwita Mungu naye akanijibu: 1 mimi ni mtu wa kuchekwa tu, 2 ingawa ni mwadilifu na nisiye na hatia! 1

Job 13:13“Nyamazeni kimya nipate kusema; 2 kisha na yanipate yatakayonipata. 1

Job 16:20Mwombezi wangu ni rafiki yangu 2 macho yangu yamwagapo machozi kwa Mungu; 1

Job 27:12Ninyi nyote mmeona hili wenyewe. 2 Ni ya nini basi mazungumzo haya yasiyo na maana? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 21:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 21:2Job 21Job 21:4 →