Ayubu 11:4
Unamwambia Mungu, ‘Imani yangu ni kamili 2 nami ni safi mbele zako.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For thou hast said, My doctrine is pure, and I am clean in thine eyes.
In Context
3Je, maneno yako ya upuzi yawafanye watu wanyamaze kimya? 2 Je, mtu asikukemee unapofanya dhihaka? 1
5Aha! Laiti kwamba Mungu angesema, 2 kwamba angefungua midomo yake dhidi yako, 1
Cross References
Job 6:29Tulizeni hasira, msiwe wadhalimu; 2 angalieni tena, kwa maana nimehatarisha uadilifu wangu. + 6:29 Au: haki yangu bado inasimama. 1
Job 7:20Ikiwa nimetenda dhambi, nimekufanyia nini, 2 Ewe mlinzi wa wanadamu? 1 Kwa nini umeniweka niwe shabaha yako? 2 Je, nimekuwa mzigo kwako? 1
Job 10:7ingawa wajua kuwa mimi sina hatia, 2 na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako? 1
Job 34:5“Ayubu anasema, ‘Mimi sina hatia, 2 lakini Mungu ameninyima haki yangu. 1
1 Peter 3:15Bali mtakaseni Kristo kuwa Bwana mioyoni mwenu. Siku zote mwe tayari kumjibu mtu yeyote atakayewauliza kuhusu sababu ya tumaini lililomo ndani yenu. Lakini fanyeni hivyo kwa upole na kwa heshima,