The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 11 › Ayubu 11:8

Ayubu 11:8

Ni juu mno kuliko mbingu: waweza kufanya nini? 2 Kina chake ni kirefu kuliko kuzimu: 2 wewe waweza kujua nini? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

It is as high as heaven; what canst thou do? deeper than hell; what canst thou know?

In Context

7“Je, waweza kujua siri za Mungu? 2 Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi? 1

9Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, 2 nacho ni kipana kuliko bahari. 1

Read all of Ayubu 11

Cross References

Job 22:12“Je, Mungu hayuko katika mbingu za juu? 2 Juu kuliko nyota zilizo juu sana! 1

Job 35:5Tazama juu mbinguni ukaone; 2 yaangalie mawingu yaliyo juu sana juu yako. 1

Psalms 139:6Maarifa haya ni ya ajabu mno kwangu, 2 ni ya juu sana kwangu kuyafikia. 1

Proverbs 25:2Ni Utukufu wa Mungu kuficha jambo, 2 bali ni utukufu wa wafalme kuchunguza jambo. 1

Isaiah 55:9“Kama vile mbingu zilivyo juu kuliko dunia, 2 ndivyo njia zangu zilivyo juu kuliko njia zenu 2 na mawazo yangu kuliko mawazo yenu. 1

Ephesians 3:18mwe na uwezo wa kufahamu pamoja na watakatifu wote jinsi ulivyo upana, urefu, kimo na kina upendo wa Kristo,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 11:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 11:7Ayubu 11Ayubu 11:9 →