Ayubu 33:12
“Lakini mimi ninakuambia, katika jambo hili wewe una makosa, 2 kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mwanadamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, in this thou art not just: I will answer thee, that God is greater than man.
In Context
11Ananifunga miguu kwa pingu, 2 tena anaziangalia njia zangu zote kwa karibu.’ 1
13Kwa nini unamlalamikia 2 kwamba yeye hamjibu mwanadamu? 1
Cross References
Job 9:4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. 2 Ni nani aliyempinga naye akawa salama? 1
Job 11:9Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, 2 nacho ni kipana kuliko bahari. 1
Job 32:17Mimi nami nitakuwa na la kusema; 2 mimi nami nitasema lile nilijualo. 1
Job 34:17Je, yeye aichukiaye haki aweza kutawala? 2 Je, utamhukumu mwenye haki, Aliye na Nguvu Zote? 1
Job 35:2“Je, unadhani hili ni haki? 2 Wewe unasema, ‘Nina haki mbele za Mungu.’ 1
Job 36:5“Mungu ni mwenye nguvu, lakini hamdharau mwanadamu; 2 ni mwenye nguvu, naye ni thabiti katika shauri lake. 1