The Bible Software
bible.softwareWafilipiWafilipi 1 › Wafilipi 1:10

Wafilipi 1:10

ili mpate kutambua yale yaliyo mema, mkawe safi, wasio na hatia hadi siku ya Kristo,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That ye may approve things that are excellent; that ye may be sincere and without offence till the day of Christ;

In Context

9Haya ndiyo maombi yangu: kwamba upendo wenu uongezeke zaidi na zaidi katika maarifa na ufahamu wote,

11mkiwa mmejawa na matunda ya haki yapatikanayo kwa njia ya Yesu Kristo, kwa utukufu na sifa za Mungu. 1 Kufungwa Kwa Paulo Kwaieneza Injili

Read all of Wafilipi 1

Cross References

Joshua 24:14“Sasa basi mcheni Bwana na kumtumikia kwa uaminifu wote. Itupeni mbali miungu ambayo baba zenu waliiabudu huko ngʼambo ya Mto Frati na huko Misri, nanyi mtumikieni Bwana.

Job 34:3Kwa kuwa sikio huyajaribu maneno 2 kama vile ulimi uonjavyo chakula. 1

Amos 5:14Tafuteni mema, wala si mabaya, 2 ili mpate kuishi. 1 Ndipo Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote atakuwa pamoja nanyi, 2 kama msemavyo yupo nanyi. 1

Matthew 16:23Lakini Yesu akageuka na kumwambia Petro, “Rudi nyuma yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Moyo wako hauwazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.”

Matthew 26:33Petro akajibu, “Hata kama wote watakuacha, kamwe mimi sitakuacha.”

John 3:20Kwa kuwa kila atendaye maovu huchukia nuru, wala haji kwenye nuru ili matendo yake maovu yasifichuliwe.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Wafilipi 1:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Wafilipi 1:9Wafilipi 1Wafilipi 1:11 →