Ayubu 12:19
Huwaondoa makuhani wakiwa wametekwa nyara, 2 na kuwaangusha waliojiimarisha muda mrefu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He leadeth princes away spoiled, and overthroweth the mighty.
In Context
18Huondoa pingu zilizofungwa na wafalme, 2 na kuwafunga mishipi ya kiunoni. 1
20Hunyamazisha midomo ya washauri wanaoaminika, 2 na kuondoa busara ya wazee. 1
Cross References
Joshua 10:24Walipokuwa wamewaleta hawa wafalme kwa Yoshua, akawaita watu wote wa Israeli, na kuwaambia majemadari wa vita waliokwenda pamoja naye, “Njooni hapa mweke nyayo zenu juu ya shingo za hawa wafalme.” Basi wakaja wakaweka nyayo zao shingoni.
1 Samuel 17:45Daudi akamwambia yule Mfilisti. “Wewe unanijia na upanga, mkuki na fumo, lakini mimi ninakujia kwa jina la Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa majeshi ya Israeli, ambaye wewe umemtukana.
Job 34:20Wanakufa ghafula, usiku wa manane; 2 watu wanatikiswa nao hupita; 1 wenye nguvu huondolewa 2 bila mkono wa mwanadamu. 1
Job 35:9“Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso; 2 huomba msaada kutoka mkono wenye nguvu. 1
Isaiah 40:23Huwafanya wakuu kuwa si kitu, 2 na kuwashusha watawala wa dunia hii kuwa kitu bure. 1
Revelation 17:14Watafanya vita na Mwana-Kondoo, lakini Mwana-Kondoo atawashinda kwa sababu yeye ni Bwana wa mabwana na Mfalme wa wafalme. Yeye atakuwa pamoja na watu wake walioitwa ambao ni wateule wake na wafuasi wake waaminifu.”