The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 12 › Ayubu 12:20

Ayubu 12:20

Hunyamazisha midomo ya washauri wanaoaminika, 2 na kuondoa busara ya wazee. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He removeth away the speech of the trusty, and taketh away the understanding of the aged.

In Context

19Huwaondoa makuhani wakiwa wametekwa nyara, 2 na kuwaangusha waliojiimarisha muda mrefu. 1

21Huwamwagia dharau wanaoheshimika, 2 na kuwavua silaha wenye nguvu. 1

Read all of Ayubu 12

Cross References

Job 12:24Huwaondolea viongozi wa nchi akili zao; 2 huwapeleka watangetange nyikani pasipo na njia. 1

Job 32:9Sio wazee peke yao walio na hekima, 2 sio wenye umri mkubwa peke yao wanaofahamu lililo sawa. 1

Proverbs 10:21Midomo ya mwenye haki hulisha wengi, 2 lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu. 1

Proverbs 12:22Bwana anachukia sana midomo idanganyayo, 2 bali hufurahia watu ambao ni wa kweli. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 12:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 12:19Ayubu 12Ayubu 12:21 →