Ayubu 34:20
Wanakufa ghafula, usiku wa manane; 2 watu wanatikiswa nao hupita; 1 wenye nguvu huondolewa 2 bila mkono wa mwanadamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21“Macho yake yanazitazama njia za wanadamu; 2 anaona kila hatua yao. 1
Cross References
Exodus 12:29Ilipofika usiku wa manane, Bwana akawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika Misri, kuanzia mzaliwa wa kwanza wa Farao, mrithi wa kiti cha ufalme, hadi mzaliwa wa kwanza wa mfungwa, aliyekuwa gerezani, na wazaliwa wa kwanza wa mifugo yote pia.
1 Samuel 26:10Daudi akasema, “Hakika kama vile Bwana aishivyo, Bwana mwenyewe atampiga; au wakati wake utafika, naye atakufa, au atakwenda vitani na kuangamia.
Job 36:20Usiutamani usiku uje, 2 ili uwaburute watu mbali na nyumba zao. 1
Isaiah 10:16Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atatuma ugonjwa wa kudhoofisha kwa askari wake walio hodari, 1 katika fahari yake moto utawaka 2 kama mwali wa moto. 1
Isaiah 30:30Bwana atawasababisha watu waisikie sauti yake ya utukufu, 2 naye atawafanya wauone mkono wake ukishuka 1 pamoja na hasira yake kali na moto ulao, 2 kukiwa na tufani ya mvua, 2 ngurumo za radi na mvua ya mawe. 1
Isaiah 37:38Siku moja, alipokuwa akiabudu katika hekalu la mungu wake Nisroki, wanawe Adrameleki na Shareza wakamuua kwa upanga, nao wakakimbilia nchi ya Ararati. Naye Esar-Hadoni mwanawe akawa mfalme badala yake.