The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 12 › Ayubu 12:23

Ayubu 12:23

Huyafanya mataifa yatukuke na kuyaangamiza; 2 hufanya mataifa kuwa makubwa, naye huyatawanya. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He increaseth the nations, and destroyeth them: he enlargeth the nations, and straiteneth them again.

In Context

22Hufunua mambo ya ndani ya gizani, 2 na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana. 1

24Huwaondolea viongozi wa nchi akili zao; 2 huwapeleka watangetange nyikani pasipo na njia. 1

Read all of Ayubu 12

Cross References

Exodus 1:20Kwa hiyo Mungu akawatendea mema wakunga hao. Waisraeli wakaongezeka na kuendelea kuwa wengi zaidi.

Psalms 107:39Kisha hesabu yao ilipungua, na walinyenyekeshwa 2 kwa kuonewa, maafa na huzuni. 1

Isaiah 26:15Umeliongeza hilo taifa, Ee Bwana, 2 umeliongeza hilo taifa. 1 Umejipatia utukufu kwa ajili yako mwenyewe, 2 umepanua mipaka yote ya nchi. 1

Isaiah 51:2mwangalieni Abrahamu, baba yenu, 2 na Sara, ambaye aliwazaa. 1 Wakati nilipomwita alikuwa mmoja tu, 2 nami nikambariki na kumfanya kuwa wengi. 1

Jeremiah 30:19Nyimbo za kushukuru zitatoka kwao 2 na sauti ya furaha. 1 Nitaiongeza idadi yao 2 wala hawatapungua, 1 nitawapa heshima 2 na hawatadharauliwa. 1

Zechariah 10:8Nitawaashiria na kuwakusanya ndani. 2 Hakika nitawakomboa, 1 nao watakuwa wengi 2 kama walivyokuwa mwanzoni. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 12:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 12:22Ayubu 12Ayubu 12:24 →