Job 13:26
Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu 2 na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For thou writest bitter things against me, and makest me to possess the iniquities of my youth.
In Context
25Je, utaliadhibu jani lipeperushwalo na upepo? 2 Je, utayasaka makapi makavu? 1
Cross References
1 Kings 17:18Akamwambia Eliya, “Una nini dhidi yangu, ewe mtu wa Mungu? Umekuja ili kukumbushia dhambi yangu na kusababisha kifo cha mwanangu?”
Job 20:11Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake, 2 zitalala naye mavumbini. 1
Psalms 88:3Kwa maana nafsi yangu imejaa taabu, 2 na maisha yangu yanakaribia kaburi. + 88:3 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 1
Jeremiah 31:19Baada ya kupotea, nilitubu; 2 baada ya kuelewa, nilijipiga kifua. 1 Niliaibika na kuona haya 2 kwa sababu niliibeba aibu ya ujana wangu.’ 1
John 5:14Baadaye Yesu akamkuta yule mtu aliyemponya ndani ya Hekalu na kumwambia, “Tazama umeponywa, usitende dhambi tena. La sivyo, lisije likakupata jambo baya zaidi.”