The Bible Software
bible.softwareJobJob 7 › Job 7:5

Job 7:5

Mwili wangu umevikwa mabuu na uchafu, 2 ngozi yangu imetumbuka na kutunga usaha. 1 Ayubu Anamlilia Mungu 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

My flesh is clothed with worms and clods of dust; my skin is broken, and become loathsome.

In Context

4Wakati nilalapo ninawaza, ‘Itachukua muda gani kabla sijaamka?’ 2 Usiku huwa mrefu, nami najigeuzageuza hadi mapambazuko. 1

6“Siku zangu zinapita upesi kuliko mtande wa kufuma, 2 nazo zinafikia mwisho wake bila matumaini. 1

Read all of Job 7

Cross References

Job 2:7Basi Shetani akatoka mbele za Bwana naye akampiga Ayubu kwa majipu mabaya tangu nyayo za miguu yake hadi utosi wa kichwa.

Job 13:28“Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, 2 kama vazi lililoliwa na nondo.

Job 17:14kama nikiuambia uharibifu, ‘Wewe u baba yangu,’ 2 na kuliambia buu, ‘Wewe u mama yangu’ au ‘Dada yangu,’ 1

Job 19:26Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa, 2 bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu; 1

Job 30:18Kwa uwezo wake mkuu Mungu huwa kwangu kama nguo; 2 hushikamana nami kama ukosi wa vazi langu. 1

Psalms 38:6Nimeinamishwa chini na kushushwa sana, 2 mchana kutwa nazunguka nikiomboleza. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 7:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 7:4Job 7Job 7:6 →