Ayubu 36:4
Uwe na hakika kwamba maneno yangu si ya uongo; 2 mmoja aliye mkamilifu katika maarifa yuko pamoja na wewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For truly my words shall not be false: he that is perfect in knowledge is with thee.
In Context
3Ninayapata maarifa yangu kutoka mbali, 2 nami nitamhesabia haki Muumba wangu. 1
Cross References
Job 13:4Ninyi, hata hivyo, hunipakaza uongo; 2 ninyi ni matabibu wasiofaa kitu, ninyi nyote! 1
Job 21:27“Ninayajua kikamilifu yale mnayoyafikiri, 2 mipango ambayo kwayo mngenitendea mabaya. 1
Job 22:6Umedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu; 2 umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi. 1
Job 37:16Je, wajua jinsi mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia, 2 hayo maajabu yake yeye aliye mkamilifu katika maarifa? 1
Proverbs 8:7Kinywa changu husema lililo kweli, 2 kwa maana midomo yangu huchukia uovu. 1
Luke 1:3mimi nami baada ya kuchunguza kila kitu kwa uangalifu kuanzia mwanzo, niliamua kukuandikia habari za mambo hayo, ewe mtukufu Theofilo,